Kwa Wenye viwanda vidogo, vya kati na vikubwa vya kuzalisha na kusindika chakula, nauza huduma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa Wenye viwanda vidogo, vya kati na vikubwa vya kuzalisha na kusindika chakula, nauza huduma

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by kinyamukonyi, Sep 16, 2011.

 1. k

  kinyamukonyi New Member

  #1
  Sep 16, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajamii, ninaomba kutangaza huduma ya kitaalamu kwa wazalishaji na wasindikaji wa chakula: Kukagua mifumo/mitambo, na ushauri kwa kuzingatia usalama na ubora wa bidhaa kwa mujibu wa sheria za Tz na Codex

  Ninawasilisha jamvini

  Tunapatikana +255 657 123 733
   
Loading...