TANESCO: Kuna nini Kariakoo leo wiki ya pili umeme hamna toka asubuhi mpaka jioni

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,768
892
Wana JF,
Maisha yanazidi kuwa magumu na gharama zinaongezeka kwa kasi ya ajabu.
Kila mwenye duka maeneo ya Kariakoo hii hali inamkuta mchana kutwa ni makelele ya ya Generators! Na ni lazima kila siku utumie Sh20.000 kwa ajili ya mafuta ya generator peke yake.
Tanesco hawasemi kama huu ni mgao au kuna tatizo la kiufundi, sasa hivi wafanya biashara wa kariakoo kwa mwezi wanatumia kiasi cha laki 600.000 kwa mafuta tu ya Generator.
Hii hali tunaondelea nayo sijui itakuaje huko siku za mbele maisha yamekuwa magumu, na wafanya biashara wengi wa kariakoo, wapo kwenye mikopo ya muda mrefu
Wadau hii hali mnaionaje!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom