Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

mmoja wa directors wa jambo leo ni BENNY KISAKA ambaye ana elimu ya DARASA LA SABA huyu ni mpiga picha wa majira na alikuwa chini ya mpiga picha mkuu wa gazeti gazeti la majira wakati huo-RICHARD...
0 Reactions
98 Replies
76K Views
Viongozi wote wanaweza lakini wewe umewazidi kitu kimoja UZALENDO. ili hao wenzako wenye mahisa mazito katika makampuni ya usafirishaji wanaoumiza kazi nzuri ya mzalendo mwenzako Dr. Magufuri...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Naombeni msaada wa ku calculate kodi za hili truck kutoka uingereza hadi lifike mikononi mwangu IVECO 7.5 TON Cc 3920 Cif appr. £6200 Ni la mwaka 2000 Please help me na natanguliza shukrani.
0 Reactions
1 Replies
971 Views
Wapendwa habari za majukumu.Jamani natafuta tractor MFused Hp isiwe pungufu ya 70.Kama kuna mwenye nalo au anayeweza kunisaidia kulipata nilinunue naomba msaadaTafadhali ni PM.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salaam wakuu, Magari yamekuwa gharama sana kuwa nayo,lakini ni jambo la kusikitisha, mtu bora akuibie kwa njia nyingine na si kukuibia na kuliharibu gari lako. Janga hili nimeona niwaeleze,kila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ndugu, kama una biashara maeneo ya mwenge na sinza, tunakukaribisha kutangaza biashara yako kataika kijalida chetu cha matangazo kinachotolewa na Carepoint PhotoPlus studio. biashara hizo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salamu kwenu wakuu, tumshukuru Mungu kwa kutufikisha mwisho wa mwaka, nasi tupige mahesabu yetu, tumefanikiwa kwa kiasi gani? Swali langu, nataka kufungua Salary Account huko Stanbic Bank, kuna...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
modem ipo unlocked inasoma line yoyote ni pm kwa maelezo zaidi
0 Reactions
0 Replies
961 Views
jamani naombeni mnipe mwongozo nataka kuanza kulima mananasi maeneo ya kiwangwa kati ya bagamoyo na msata kwa hivyo nilikua naomba kama kuna mtu anajishughulisha na huo mradi anishirikishe kuanzia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau, Habari zenu? Naomba msaada wenu, wapi naweza kupata/ ni nani anaweza kunisaidia kupata program/ software ya kutumia ktk Duka la Dawa kwa ajili ya: 1.Stock control (drug group, generic...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Siku ya jumamosi tarehe 7/12/13 kuliandaliwa mkutano au tafrija au hafla maalum ya kuwakutanisha watanzania waishio sehemu mbalimbali nchini Uingereza. Mkutano huo ulidaiwa kuyatarishwa na kampuni...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Wadau karibuni
0 Reactions
0 Replies
4K Views
LAGOS, Nigeria—It ain't easy bringing Africa the hamburger. In the past year, Johnny Rockets Group Inc. in Nigeria opened its first retro diner on the continent, and Burger King Worldwide Inc. cut...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam wana JF, Napenda kuuliza hili sawali ambalo linaweza kuwa dogo sana kwa wengine lakini naamini ni kubwa sana kwangu kwa sababu sina utaalamu na mambo ya hisa. Nataka kuuliza je unaponunua...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Wakuu naamini taarifa hii ni muhimu kukufikia. Hasa kwa wanaotaka kuuweka ujasiliamali katika vitendo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Please follow the Interview made by The Guardian with Ms Massinda, CEO of Capital Markets & Securities Authority (CMSA) about Entrepreneurs use of Capital Markets to get long-term capital. Read...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hisa za NMG sasa kuorodhesha DSE Saturday, 18 December 2010 09:15 Samuel Kamndaya MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA), imetoa ruhusa kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Dear Prospective Clients We would like to take this opportunity and introduce you to a new name in Digital Marketing. Eneo Lako, prides itself as one of the leaders in the Digital Marketing...
1 Reactions
0 Replies
839 Views
Ajira zina matatizo kibao. Watalaam naomba ushauri nianzishe biashara gani kwa sh.mil.1? Nipo Dar.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi wasalaam! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu! Ninaoomba mwenye ufahamu wa kutosha juu ya hii aina ya uwekezaji anipe ufahamu kuhusu hii aina ya uwekezaji ili na mie...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom