Naombeni msaada wa ku calculate kodi za hili truck kutoka uingereza hadi lifike mikononi mwangu IVECO 7.5 TON Cc 3920 Cif appr. £6200 Ni la mwaka 2000 Please help me na natanguliza shukrani.