SOMA: Mwenge na Sinza: Tangaza offer zako za Mwaka Mpya na X'mas - na upate wateja

elnathan

Member
Apr 15, 2011
41
2
ndugu,
kama una biashara maeneo ya mwenge na sinza, tunakukaribisha kutangaza biashara yako kataika kijalida chetu cha matangazo kinachotolewa na Carepoint PhotoPlus studio.

biashara hizo zinaweza kuwa maduka ya nguo za kike, kiume na watoto; saluni za kike na kiume; butchery; hotel; restaurants; general shops; stationeries; bookshops; bar; maduka ya vifaa vya ujenzi; mini-supermarket; maduka ya viatu; insurance companies; bank; etc

katika msimu huu wa X'mas na mwaka mpya unaweza kutangaza kwa bei ya kuanzia 35,000 na kuendeea kutegemea na ukubwa. kijarida kitawafikia watu wasiopungua 10,000/=..
wahi nafasi yako ya kutangaza. tafadhali tuandikie nat867@gmail.com na photo24@gmail.com

karibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom