Ajira zina matatizo kibao. Watalaam naomba ushauri nianzishe biashara gani kwa sh.mil.1? Nipo Dar.
Ajira zina matatizo kibao. Watalaam naomba ushauri nianzishe biashara gani kwa sh.mil.1? Nipo Dar.
fanya yafuatayo katika eneo uishloo/ktaani kwako. Uangalie k2 gani knahtajk au tatzo kubwa then geuza shda zao kuwa idea ya biashara angalia hyo idea tafuta watu wanayofanya hyo biashara wanafanyaje then utakuwa umejua wap kwa kuanzia. Note down every pblem n how to solve t!