Gazeti la Jambo Leo... Vituko vitupu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gazeti la Jambo Leo... Vituko vitupu!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Game Theory, Jul 14, 2009.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  mmoja wa directors wa jambo leo ni BENNY KISAKA ambaye ana elimu ya DARASA LA SABA huyu ni mpiga picha wa majira na alikuwa chini ya mpiga picha mkuu wa gazeti gazeti la majira wakati huo-RICHARD MWAIKENDA ,mwaikenda- hawa wote wamefukuzwa gazeti la majira na sasa richard mwaikenda ndio mpiga picha wa Gazeti la JAMBO LEO.


  Zaidi tuu kuhusu huyu BENNY KISAKA ni kuwa toka miss tanzania imeanza mwaka 1994 yeye amepewa uwakilishi wa kitongoji cha temeke yaani HASHIM LUNDENGA kashindwa kumuani kusimamia ngazi ya mkoa licha ya kuwepo toka 1994Lundenga mwenyewe anasema jamaa hana ubunifu!


  Haya mhariri mkuu wa gazeti la JAMBO LEO ni BONIFACE WAMBURA huyu alikuwa akiandikia michezo gazeti la majira akatimuliwa kwa tabia zake za ufisadi.


  Na kaimu mhariri wa habari ni EDSON KAMUKARA aliyemaliza nyegezi miezi sita iliyopita hana uzoefu na hajui kazi…aliandaliwa interview na jamaa wa pale BOT akaingia mitini watu BOT walimsubiri weee mpaka!

  Mhariri wa makala JOACHIM MUSHI ambaye ni binamu yake kisaka nae hana uzoefu wa kazi wala elimu, mhariri wa michezo WILLY EDWARD alifukuzwa gazeti la majira kwa sababu ya wizi akawa misheni town kwa muda mrefu.

  By the way mpiga picha RICHARD MWAIKENDA ndiye aliyekuwa bosi wa benny kisaka majira kabla hawajafukuzwa wote. kwenye michezo kuna EDWARD KUMWEMBE huyu naye kafukuzwa habari corporation kwa kutokujua maadili ya kazi na kuheshimu mkataba wa kazi alikuwa habari corporation halafu anaandikia magazeti mengine ya mitaani. RUHIGO akamtimulia mbali.

  swali gazeti hili la kila siku limasheheni waaandishi ambao wamefukuzwa kwenye vyombo vingine na limeshindwa kuchukua wataalam wa habari,wameshindwa kujifunza kwa mbowe wakati anaanzisha tanzania daima alichukua watu toka kona mbali mbali ili kupata flavour….

  Sasa kichekesho ni mwenye Gazeti hili mwenyewe jina lake halipo hata sehemu moja na kijana ambaye ni msomi tuu lakini cha ajabu huyu bwana hapo chini ndiye anamweka front kumfanyia mambo yake…kwa madai kuwa washajiandaa kwa ajili ya uchaguzi wa 2010 kwa mtazamo kuwa hili gazeti litakuwa leading daily paper in Tanzania within 6 months
  [​IMG]
  Meneja Masoko wa bodi ya Utalii Tanzania Geofrey Meena kushoto akiwa na Juma Pinto mtanzania ambaye amekuwa mstari wa mbele katika kuutangaza utalii waTanzania nchini uingereza

  sasa utamu zaidi ni kuwa huyu bwana katajwa kwenye kashfa ya UFISADI wa wizara ya utalii.
  [​IMG]
   
 2. b

  bnhai JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2009
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,207
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  Kwenye private sector owner akiamka anafukuza tu watu, inawezekana wameamua kuepuka kuandika matakwa ya wamiliki.
  Hoja ya kumaliza chuo hivi karibuni haina mashiko, wapo wenye uzoefu bado wanaboronga tu
   
 3. Mpendanchi-2

  Mpendanchi-2 JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2009
  Joined: Apr 4, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  So what is the point !!!???? Kwa sababu Gazeti limechukua wafanyakazi wa Habari Coporation ??!! Au kwa sababu Mmiliki anawekwa nyuma hajulikani popote!!?? Mbona Rostam Aziz naye anamiliki hiyo Habari Coporation kwa mgongo wa Nyuma.

  Unajua GT siku hizi mada zako zote zina boa, unashusha credibility ya JamiiForums kwa tamaa za Pesa za Mafisadi.

  Mod, hii post wala haistahili kukaa hapa kwenye Siasi peleka kwenye udaku.
   
 4. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Jiandaeni kuona members wapya na walio waliojiandikisha lakini hawajaposti kitu kuja kuwatetea hawa jamaa
   
 5. Shedafa

  Shedafa JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2009
  Joined: May 21, 2008
  Messages: 802
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Nina wasiwasi na hizi habari unazotuletea siku hizi mkuu, Benny Kisaka si darasa la 7 kama unavyodai.Nina uhakika na ninachoandika hata ukitaka nikutajie sekondari aliyosoma nitakutajia. Inanitia mashaka kuwa huenda na hizi habari zingine unazotuletea huenda nazo ni zakusikia, hujazifanyia uchunguzi wa kutosha.
   
 6. k

  kanda2 JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2009
  Joined: Apr 22, 2007
  Messages: 1,318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Sio kweli, waandishi hao hawakuwahi kuwa kwenye Hard News kama ilivyoelezwa hapo juu walikuwa wakiandikia michezo. hakuna MMILIKI WA GAZETI anaweza kulazimisha story ya michezo,Mmiliki hulazimisha HARD NEWS sio habari za michezo kuwa uandike habari za Football tu na si kikapu.

  Uzoefu una nafasi kubwa kuliko elimu.Larry King wa CNN hana Digrii.
  Unaweza kushindana na JOHNSON MBWAMBO,au John Bwire? KWENYE AJIRA nafasi ya EXPERIENCE ina umuhimu mkubwa.

  Mengi alichukua wanahabari toka Mwananchi hao kina Sakina Datoo kwa uzoefu wao kwenye kazi.
   
 7. k

  kanda2 JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2009
  Joined: Apr 22, 2007
  Messages: 1,318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Inaonekana kafanya uchunguzi kama kajua kuwa Benny ni wakala wa Miss Tanzania level ya kitongoji basi anamjua au kafanyia kazi hoja zake ameeleza hadi alikofanya kazi na nani alikuwa bosi wake,huo ni uchunguzi mkubwa.ilitakiwa wewe upinge kwa kusema kuwa Benny ni msomi wa chuo kikuu cha DSM amemaliza mwaka fulani digrii fulani.

  credibility ya GT ni kubwa sana hapa amevumbua mambo mengi kama mradi wa MEMBE na vitambulisho, mimi nilisoma hapa toka kwa GT na baadaye magazeti kama Raia Mwema yakafanyia kazi kwa sorce ya GT.
   
 8. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2009
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mods

  Hii habari inaonekana ni udaku ila sio udaku ni siasa zatu katika kilele chake kuelekea 2010..naomba kutoa hoja irudi kule kwenye siasa.

  GT, nimeshakaa mkao wa movie....pop corn zangu bado moto kabisa...
   
 9. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Wakuu JF si mahala pa malumbano ya vyombo vya habari sijui vya Mengi, Rostam au wasio na uzoefu nk. Anyway, inawezekana members wengi ni wanahabari lakini tuachane na habari zisizo na tija (let say hilo Gazeti la JAMBO LEO limefanya jambo gani baya kwa jamii?). Tuachane na hii tuendelee kukata mambo ya maana.
   
 10. Robweme

  Robweme Senior Member

  #10
  Jul 14, 2009
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 178
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu;
  Magazeti yako mengi, ukiona ilo halina wasomi au lina waliofukuzwa kazi hapa na pale usilinunue au sio.
  Kuanzisha gazeti sio lazima uwe umeenda shule,unaweza kuajili watendaji wazuri na wakafanya kazi.
  Kuhusu hili la waliofukuzwa kazi sehemu mbalimbali, ambatanisha barua zao za kufukuzwa kazi,maana hatuna uakika kama kweli walifukuzwa.Inaonekana wewe ni mropokaji sana hata sehemu ya kazi yako, nahisi watu wanapata tabu sana, unangea sana.Kufukuzwa kwao kazi sio kwamba wasipate kazi pengine, au wasijiali, inavyoonekana wewe una chuki nao kabisa na unataka waharibikiwe sio, shindwa na uregee kabisa, acheni vijana wajiajili na wapige mzigo wewe endelea kuajiliwa utawasikia kwenye bomba tu.
   
 11. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #11
  Jul 14, 2009
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Game Theory hauna tofauti na kina feleshi na wasomi wengine pampja na usomi wao bado wanatumiwa tu na wanasiasa. Unatumiwa kupiga propaganda. Nimeliona hili jinsi unavyowatetea kwenye post zako tatu zilizopita
  .
  Post yako ya MoU ya kanisa na serikali sikuelewa. MoU ni kitu cha kawaida sio consitution ni maelewano ya pande mbili juu ya utekelezaji wa jambo fulani. wanakubaliana responsibiities. hakukuwa na hoja pia

  Hapa kwa hili suala la gazeti unaonekana huna hoja ya kueleweka unaonekana una chuki binafsi. Kwa profession yeyote uliyonayo GT I am convinced hata wewe ni unethical.

  Sitaki kuamnini baada ya kufikisha post zaidi ya elfu tano mwana JF unakosa mwelekeo au unakuwa umechoka kimawazo na kukosa msimamowa haki.
   
 12. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #12
  Jul 14, 2009
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  GT this is contructive criticism to you
  kwa mtirirko wa wapost na hoja zako kwenye baadhi ya hoja zizilipoita inaonekana wazi unatumiwa kupiga propaganda. Sioni kabisa tofauti yako na kina feleshi amabo na usomi wao wanatumiwa na wasiasa na wamewekwa njia panda.

  Kwanza Kuna hoja ya NSSF unaonenaka umeridhishwa kwa asilimia 100 utendaji wao na hawaitaji mabadiliko na tena unawapa pongezi mtu kazi anayotakiwa kufanya.

  Pili ukaweka MoU ya kanisa na serikali. Binafsi sikuona tatizo wala kasoro ya ile Mou.Mou sio sheria ni makubaliano ya pande mbili au zaidi juu ya majukumu ya kila mmoja katika utekelezaji wa jambo fulani. sikuona katika ile Mou kama kulikuwa na kasoro yeyote.lakini wewe ni kama ulitaka tuamini kuna tatizo.

  Sasa kwa hii hoja ya gazeti la jambo pia sioni hoja yako ya msingi. Sidhani na sitaki kuamini kama senior member wa JF akifikia post 5000 ndo anaanza kukosa mwelekeo, anakosa msimamo wa haki.

  Kwa mtiririko huu inaonyesha na wewe unaweza kukiuka kirahisi maaddili kama si ya uongozi basi ya kazi na taaluma yako.

  Nawasilisha.
   
 13. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #13
  Jul 14, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ni Gazeti la Ridhiwani Kikwete ambaye ameamua kuanzisha gazeti kwa ajili ya mwakani ili apambane nao wote watakao toa upinzani kwa baba yake
   
 14. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #14
  Jul 14, 2009
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Haya magazeti sasa yamekuwa mengi mno. Kwa nini serikali yetu inaruhusu usajili wa magazeti mengi kiasi hiki. Magazeti mengine hayana mbele wala nyuma.
   
 15. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #15
  Jul 14, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu Game Theory,ni nani ametajwa kwenye kashfa ya ufisadi? ni Geofrey Meena au Juma Pinto?.
  navyo mjua Georfrey Meena in anafanya kazi Population Services International (PSI) na si wizara ya utalii
   
 16. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #16
  Jul 14, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Wengine wanayaangalia haya mambo kijuujuu tu, afadhali umewambia labda wataelewa
   
 17. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #17
  Jul 14, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Atakuja hapa na kuwambia na pia ana mpango wa kutaka liwe linatoka kila siku hilo gazeti lake na hivyo ni lake na ndio maana ameamua kutaka kuanzisha kampeni zake, Ridhwani Kikwete hivyo tusichangae kabisa, tutaona mengi tazama trend hata ya yale magazeti ya kampeni siku hizi ndio yanafufuka toka katika wafu
   
 18. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #18
  Jul 14, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Issue hapa kwa mtu ambaye amekuwa exposed kama PINTO the last thing one would have expected ni yeye kufungua gazeti lenye category ya RAG...surely what i expeced angefungua gazeti lenye calibre ya NewYork Times au Times of London lakini siyo gazeti lililo kaa kama National Enquirer if not Daily Star

  Na sina matatizo na Ridhwani par se lakini this is embarassment kwake kwa sababu kwa msomi kama yeye he should have known better na the last thing alichotakiwa kukifanya ni kuwa exposed na mambo haya ...na mbaya zaidi kuingia kwenye investments ambazo zitamweka kwenye front pages bila sababu yyote ile...another day another wrong move from Ridhwani...kwanza ile ya CCM nayo ilikuwa mchemsho sasa hivi hiii

  nilikuwa namtetea sana humu nikaambiwa ohhh Ridhwani jamaa yangu lakini hili I'm sorry to say sipo pamoja naye

  halafu mnalalamika kuhusu media credibility Tanzania
   
 19. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #19
  Jul 14, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu Game Theory naomba ujibu post yangu hapo juu.
   
 20. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #20
  Jul 14, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  GT mi niko standby kuangalia hili movie na koka pembeni...I trust your sources no doubt about that
   
Loading...