Software ya kutumia katika Duka la Dawa (Pharmacy)

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
573
250
Wadau,
Habari zenu?
Naomba msaada wenu, wapi naweza kupata/ ni nani anaweza kunisaidia kupata program/ software ya kutumia ktk Duka la Dawa kwa ajili ya:
1.Stock control (drug group, generic name, brand name, amount in stock, expiry date, country of origin, price, amount sold, date sold etc, etc...)
2.Stock purchase/ sales
3.Others (staff salaries, trainings, incentives, bonuses, taxes, transportation, etc, etc....
4......
5......
.......
n..... Data analysis

Preferrably software/ program isiyotumia Internet.
 
CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
573
250
Sabasita, toa proposal wewe na ui-fafanue vizuri hiyo software yako kuwa inaweza kufanya vitu gani na vitu gani hata zaidi ya nilivyotaja ili nishawishike kukutafuta. Pia nitahitaji nijue umewatengenezea watu gani/ kampuni gani ili niwaulize ubora wake na niwatembelee pia. Baada ya hapo ndipo nitakapofikia uamuzi wa kukutafuta ili unitengenezee au la!
That's business!
If you do not comply with these requirements consider yourself unsuccessful in this deal.
Asante/Obrigado/ Merci/ Thanks
 
Olympus

JF-Expert Member
Jul 27, 2013
2,735
2,000
Wadau,
Habari zenu?
Naomba msaada wenu, wapi naweza kupata/ ni nani anaweza kunisaidia kupata program/ software ya kutumia ktk Duka la Dawa kwa ajili ya:
1.Stock control (drug group, generic name, brand name, amount in stock, expiry date, country of origin, price, amount sold, date sold etc, etc...)
2.Stock purchase/ sales
3.Others (staff salaries, trainings, incentives, bonuses, taxes, transportation, etc, etc....
4......
5......
.......
n..... Data analysis

Preferrably software/ program isiyotumia Internet.

unahitaji database system
 
Wang'wise

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
273
225
Tunayo hiyo system ya pharmacy the following are some of the features:-
- purchase management (PO and GRN)
- point of sale
- sales refund and return
- sales history
- stock control
- expiry, out of stock and below min level alerts
- Count sheet
- stock adjustment
- bin cards
- multi store control
- user based access rights etc.

For more details pls contact me

Rgds,
FK
visit: www.apotektz.com
 
CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
573
250
Tunayo hiyo system ya pharmacy the following are some of the features:-
- purchase management (PO and GRN)
- point of sale
- sales refund and return
- sales history
- stock control
- expiry, out of stock and below min level alerts
- Count sheet
- stock adjustment
- bin cards
- multi store control
- user based access rights etc.

For more details pls contact me

Rgds,
FK
visit: Home

Asante sana the FK.
Naomba unitumie kwa PM hii attachment uliyoiweka hapa JF tarehe 28 Oct, 2013.
Haifunguki.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-biashara-na-uchumi/545074-apotek-pharmacy-managment-system.html
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom