Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari wana jf? Nilikua naomba kuuliza kuhusu usambazwaaji wa bidhaa hiyo utaratibu ukoje? Mimi nipo hapa moro na kuna watu wengi wanaulizia sana decoder hizo sasa naomba nijulishwe.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
FURSA FURSA FURSA hii ni moja ya fursa kwa vijana, umehangaika kwa muda mrefu kwa kutafuta kitu cha kujishughulisha nacho lakini bado ujajua. hii ni fursa nzuri sana kwako kijana. ni kampuni ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
tafadhali wakuu naomba ushauri kuhusu hili
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kwa wale mnaoratajia kununua Hiace kwa ajili ya kutoa huduma ya usafirishaji maeneo ambayo usafiri huu bado ni muhimu (hususani maeneo ya miji midogo na ama kusafirisha wanafunzi maeneo ya mijini)...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika karne hii ya 21, Karne ya utandawazi. Taarifa ni kitu muhimu sana katika maisha yetu.Ni taarifa hizo hizo ambazo huleta utofauti kati ya kufanikiwa au kushindwa kufanikiwa katika eneo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huu ni muendelezo wa vipindi vya Dar es salaam Stock Exchange, na Leo DSE inakuletea Mahajiano na Makampuni yaliyooredheshwa katika Soko la hisa nayo ni Maendeleo Bank, SwissPort Na Tanga Cement
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimebahatika kuja US nikiwa kijana bado na hivyo kwa miaka 16 sasa nimejifunza mengi sana. Watu wengi wananiuliza Je vijana Tanzania wafanye nini kuinua maisha yao haraka? je Tanzania ifanye nini...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Naomba mnisaidie,je gharama za Kufunga wiring nyumba ya vyumba vitatu vya kulala size ya wastani yaani Kuweka na luku, Dar es salaam ni kiasi gani? Naomba gharama rough tu kwa anayejua au kwa...
0 Reactions
8 Replies
17K Views
Nimekuwa nikickia sana uwekezaji kwenye hisa lkn cna elimu yeyote khs hii biashara ya hisa,je naanzaje,napataje faida na mambo kadhalika.naomba mtu yeyote humu jamvini mwenye ujuzi khs hii...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivia Karibuni upotevu mkubwa wa fedha Efatha Benk ambapo bado chanzo hakijajulikana na wakaguzi wa ndani wanaendelea na uchunguzi. Wakati hayo yakijili yafuatayo yamebainika: 1.Mary Msimbila...
0 Reactions
51 Replies
8K Views
We are authorised agents of AzamTv. we are located at Magomeni mapipa Idrisa street you can call 0655957555. A set is sold at 135,000/= plus 12,500/= subscription fee. It includes a decoder, a...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
NMB ni Benki nzuri iliyoenea Tanzania na kwa maana hiyo ni kimbilio la wananchi wa kawaida na wenye kipato cha chini. Pamoja na hayo kuna baadhi ya kero ambazo si za lazima lakini baadhi ya...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Tanzania Revenue Authority(TRA) informed the POAC that Tanzania lost USD 308m as Tax revenue from sale of Zain Africa assets in Tanzania to Bharti Airtel. How we lost the Revenue: *TRA argues...
1 Reactions
47 Replies
10K Views
How To Start Your Business Without A Loan Interested in starting your own business but hesitant to take out a huge business loan? While it can be difficult to start a company with little capital...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
SMS ni njia ya mawasiliano. Tunazilipia hizo sms kwa kutambua kuwa ni kitu muhimu kwa mawasiliano. Lakini nadiriki kusema VODACOM wanatusumbua wateja kwa kutumia misululu ya SMS za matangaso kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana JF ninaomba kama kuna mtu/watu ambao wako tayari kushirikiana na mimi ili tupate product made in Tanzania by tanzanian na iwe katika standard za viwango vya ulaya ili tukauze Ulaya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba Ushauri wa eneo la biashara, nina vifaa vya solar PV ambavyo vinaweza kuanzisha biashara ya business center Itakayojihusisha na kuchaji simu, kinyozi, kuchapa barua, kuburn CD, TV/Video...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kampuni ya Chinaworldbuz Company Limited, tunakukaribisha kufanya biashara nasi. Wewe ni mfanyabishara, unataka inua biashara yako, unataka kupanua mipaka ya biashara yako,unataka bidhaa zenye...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mimi Ni Kijana Wa Miaka 25 Nina Eneo(kiwanja) Limepimwa Na Nipo Katika Hatua Za Mwisho Za Kufuatilia Hati, Nahitaji Kutumia Hati Yangu Kuchukulia Mkopo Ili Niboreshe Frem Za Biashara Zilizopo...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom