Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wadau wa JF, hayo maneno mawili yananitatiza, ambaye anafahamu tofauti zake tufahamiane.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wapendwa, Mwenye Visa Card inayoweza kufanya Online Purchase anisaidie kununua Software, ina gharimu Dollar 149, na kwa rate ya leo = 325,215 Tshs. Mimi ntakupa cash laki 3 na nusu...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Mnaonunua hivi visimu vya voda smartphone vya 50000 tafadhali kuweni makini Ni fake na huwa vinazima vyenyewe au kioo kinaleta ukungu na ukiwarudishia kutengeneza wanakugeuka kuwa tatizo ni lako...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Simu feki kwenda Msumbiji,na Commoro...wabongo nomaaaaaa
0 Reactions
2 Replies
957 Views
Wakuu, Naomba mwenye template ya katiba ya akaunti ya kikundi, hasa inayofaa kwa bank kama NMB anipe idea au ikiwezekana atupie huku ili nijue namna ya kuandika. Naihitaji kwa ajili ya kufungua...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari za hapa Nilikuwa nikitafuta cheap flights nikapata hii website www.kayak.com ambayo inanidirect kwenda www.kiwi.com Naomba kujua kama kuna mtu ana uzoefu na hizi websites. Kama kuna mtu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
“What matters is your ability to pick up the flying gobs of money whizzing past your ears in the financial markets money storm.” – Louise Bedford Originally, I planned to post an article titled...
1 Reactions
0 Replies
570 Views
Jamani wadau mimi nina idea juu ya kuondokana na utegemezi wa ajira. Binafsi nafanya programming na tayari nina software mkononi nimeshatengeneza, ninachotaka ni mtu wakushirikiana naye ili...
1 Reactions
1 Replies
983 Views
habari! nafikiria kuanza biashara ya kuuza nyama ya ng'ombe naomba ushauri mwenye uzoefu na changamoto zake nimefanya research kidogo nimeona inalipa. nawakilisha
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nimepatwa na dharura ya kibiashara,ninahitaji mkopo wa haraka wa tsh 500,000/=marejesho ni baada ya mwezi mmoja. Dhamana na riba nimakubaliano kati yangu na mtoa mkopo. Kwa mwenye nao...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Samahani kama kuna atakaechukia Kunamnada unaoendelea pale kariakoo msimbazi wa vifaa vya magari mnada huu unajulikana wazi na kinachofanyika wezi huiba vifaa vya magari majumbani na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Huawei’s endless pursuit to provide original devices in Tanzania. Whilst left with only few days to eradicate all counterfeit mobile phones in Tanzania; the exercise expected to affect millions...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna rafiki yangu ambaye sio.mtanzania na anahitai kuja hapa kwa lengo la kuwekaza lakini yeye ananisikiliza mimi zaidi ingawa mimi nilishauri awekeze kwenye afya.... Sasa kitu ninachihitaji...
0 Reactions
3 Replies
849 Views
Habari wadau! Naomba nipatiwe elimu au ushauri kuhusu biashara ya asali, nataka kuifanya ila napungukiwa maarifa kwenye mambo yafuatayo; -Vibali vinapatikanaje na nivingapi? -Gharama ya kila...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
nilipita mahala nikakutana na muelimishaji wa kampuni hiyo,akichombeza eti ana mwaka tangu ajiunge na Rifaro africa ila kujiunga unatozwa tsh 128500,hofu yangu je kampuni ipo kihalali?au ndio...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kwa jinsi ya hali ya uchumi na biashara inavyoendelea katika nchi yetu biashara nyingi zitayumba kutokana na mabadiliko yanayoendelea, hivyo kutokana na hali hiyo ushindani utazidi kuongezeka mara...
1 Reactions
4 Replies
903 Views
Naombeni kuelezwa utofauti wa Company Ltd na Company ya kawaida tu. Na je kuna vigezo gani vinahitajika kuanzisha Company ltd na Company ya kawaida
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Wana forum, naomba ushauri wa biashara ntakayo weza kufanya kwa mtaji wa laki tano.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi euro na usd ipi ina thamani kubwa maana Euro 1 = 2475Tzs Usd 1 = 2199 Tzs Inamaana usd inathamani ndogo kuliko Euro au nimekosea/ sijaelewa
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mtaji wa milion 1 na laki 7 unaweza fanya haya katika kilimo cha viazi mviringo.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom