Raska New Member Jun 24, 2013 4 0 Jun 12, 2016 #1 Mtaji wa milion 1 na laki 7 unaweza fanya haya katika kilimo cha viazi mviringo. Attachments Gharama Chambuzi.docx 45.8 KB · Views: 102
Z Zamazamani JF-Expert Member Jun 13, 2008 1,865 782 Jun 13, 2016 #2 hujaainisha faida hii unapata baada ya muda gani? na ni maeneo gani unaongelea?
S structuralist JF-Expert Member Oct 13, 2012 1,230 907 Jun 13, 2016 #3 Hizi biashara zilizojificha ficha hizi.......
mnego Senior Member Jan 28, 2015 131 66 Jun 13, 2016 #4 Hujatuambia nikilimo cha bondeni au nchi kavu boss na weka gharama ya kilimo cha Maharage pia elezea na ufugaji wa nguruwe
Hujatuambia nikilimo cha bondeni au nchi kavu boss na weka gharama ya kilimo cha Maharage pia elezea na ufugaji wa nguruwe