Ninunulie hii kitu Online nikupe cash za kitanzania. Mie sina Card ya kufanya Online Purchase

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
1,637
458
Habari wapendwa,
Mwenye Visa Card inayoweza kufanya Online Purchase anisaidie kununua Software, ina gharimu Dollar 149, na kwa rate ya leo = 325,215 Tshs. Mimi ntakupa cash laki 3 na nusu. Tunakutana, nakupa link na hela, unanunua then nikishadownload (ni kama 4 Mb) biashara inakuwa imeisha. Call 0765900224
 
Kaka. Kupata Visa card ni jambo rahisi sana siku hizi.

Nenda ABC Bank. Wana card inaitwa Travel Money. Ni shilingi elfu tanu tu kuipata (hiyo ilikuwa mwaka juzi. Bei yake inaweza ikawa imezidi) na huitaji kuwa na akaounti. Nenda na picha mbili na kitambulisho.

Utapewa kadi yako papo hapo, una deposit pesa zako papo hapo na unaweza kununua product siku hiyo hiyo.

Ni bora zaidi kuliko kurisk pesa zako kwa watu uliokuwa huwajui.

Habari wapendwa,
Mwenye Visa Card inayoweza kufanya Online Purchase anisaidie kununua Software, ina gharimu Dollar 149, na kwa rate ya leo = 325,215 Tshs. Mimi ntakupa cash laki 3 na nusu. Tunakutana, nakupa link na hela, unanunua then nikishadownload (ni kama 4 Mb) biashara inakuwa imeisha. Call 0765900224
 
I mean unainunua toka website gani.? EBay, amazon or wapi.?
Kutoka kwenye website ya hao jamaa watengeneza hiyo Software. Malipo ni kwa Paypal au njia ya kawaida maadamu Card ina uwezo wa kufanya Online Purchase.
 
Kamanda nicheki PM naweza kukusaidia kupata hiyo software usiumize kichwa... nipe maelezo yote nikukamatie..
 
Mkuu utapoteza pesa hizo bure. Hebu nipe elfu 50 tu nikushushie hiyo soft ware bure kabisa. Hiyo pesa nyingine save for other expenses. Kila kitu ni ujanja ujanja sikuizi. Kama uko siriasi tafadhari niPM
 
Kuna njia aisee ya kupata card ya kufanya malipo online na ukitumiwa ela unaweza kutoa tu ATM yyte bila. Shda......
For free nipm nikupe link.... Usome terms and conditions zao na usign up within one month utapokea card yako gheto
 
Back
Top Bottom