Smart kika za voda ni fake

Baba yenu

JF-Expert Member
Jun 17, 2016
1,053
1,418
Mnaonunua hivi visimu vya voda smartphone vya 50000 tafadhali kuweni makini

Ni fake na huwa vinazima vyenyewe au kioo kinaleta ukungu na ukiwarudishia kutengeneza wanakugeuka kuwa tatizo ni lako mteja hivyo ulipie 20000 ya matengenezo

Kuweni makini kesi sio moja ni nyingi
 
Back
Top Bottom