Kapo Jr
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 996
- 280
nilipita mahala nikakutana na muelimishaji wa kampuni hiyo,akichombeza eti ana mwaka tangu ajiunge na Rifaro africa ila kujiunga unatozwa tsh 128500,hofu yangu je kampuni ipo kihalali?au ndio mambo ya current "DECI" naheshimu mawazo ya wana jf ni wengi wana uelewa wa mambo tata,nawasilisha
Last edited by a moderator: