Legacy Impresion Company
Member
- Feb 16, 2016
- 42
- 88
Kwa jinsi ya hali ya uchumi na biashara inavyoendelea katika nchi yetu biashara nyingi zitayumba kutokana na mabadiliko yanayoendelea, hivyo kutokana na hali hiyo ushindani utazidi kuongezeka mara dufu zaidi ya sasa kwa sababu hata zile biashara zinazoelekea kufeli zitapambana kufa na kupona ili zifanye vizuri, katika biashara kinachouza sana ni muonekano na ahadi yako kwa wateja yaani branding hivyo hatuna budi kuzifanyia branding biashara zetu,kwa maana ushindani unaongezeka nje na ndani ya nchi, katika biashara hata kama unabidhaa nzuri kama haujaibrand vizuri hautapata nafasi katika soko, hivyo ushindani kwa sasa utaongezeka sana na waliobrand ndio watakaopata nafasi katika soko.( Kubrand ni kutengeneza muonekano sahihi wa biashara yako kwa wateja wako).
Hebu fikiria mwenyewe unapenda dukani kununua sabuni ukakuta moja iko kwenye pakiti na nyingine haiko kwenye pakiti utanunua ipi?
Hebu fikiria mwenyewe unapenda dukani kununua sabuni ukakuta moja iko kwenye pakiti na nyingine haiko kwenye pakiti utanunua ipi?