Umejibiwa vizuri hakuna kampuni iliyosajiliwa Brela kama kampuni ikakosa Limited, ikimaanisha kampuni inajulikana kisheria na inaweza kufunguliwa mashtaka ama kushtakiwa na haiingiliani na mmiliki wake, hata ikifilisika mali za wakurugenzi binafsi hazitahusika kulipa madeni ama mishahara ya wafanyakazi bali mali za kampuni zitakazokuwa zimebaki.
Kampuni yaweza kuwa na hisa au isiwe na hisa hapa ndipo kwenye utofauti wa kampuni hizi mbili.
Kampuni ambayo ni 'Limited' ni ya mtu au watu binafsi na kampuni ambayo ni 'Public' yenyewe huuza hisa kwa wananchi. Mtu yeyote anaweza kuuza na kununua hisa zake.
Na pia kampuni ambayo ni 'Limited' ina matawi yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.