Ushauri wa biashara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri wa biashara

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by falifalijr, Jun 13, 2016.

 1. f

  falifalijr New Member

  #1
  Jun 13, 2016
  Joined: Jun 1, 2016
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Wana forum, naomba ushauri wa biashara ntakayo weza kufanya kwa mtaji wa laki tano.
   
 2. lil_nocran

  lil_nocran Member

  #2
  Jun 13, 2016
  Joined: Jul 10, 2014
  Messages: 50
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 15
  Nikopeshe mimi,baada ya miezi 3 nakulipa laki6.
   
 3. B

  BIR Senior Member

  #3
  Jun 13, 2016
  Joined: Jul 29, 2013
  Messages: 113
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Suala la kujua biashara gani! Linategemeana sana na Udadisi (wako mwenyewe) wa taarifa za mazingira uliyopo (fursa zilizopo).
  Mazingira uliyopo yaani hali ya soko (yaani udhaifu na uimara katika bidhaa na huduma zilizopo eneo husika) katika eneo unalotaka kufanya hiyo biashara. Hii ndiyo njia rahisi ya kujua/kukushauri ni biashara gani ufanye.
  Na unaposema hali ya soko inajumuisha (watu, kiwango cha huduma zilizopo,au bidhaa zinavyopatikana au kuuzwa mzunguko wa fedha, kujitoshereza kimazingira. n.k)

  La sivyo kwa humu watu tutakueleza biashara ambazo, kwa mazingira yao zinalipa. na kwa mazingira yako pengine zitakuwa hazina mzunguko mzuri!

  Hivyo unapoomba ushauri hakikisha unatoa na hali halisi ya eneo unalotaka kufanya biashara. kwa maelezo zaidi unaweza kun PM.
   
 4. N

  Ngwananzengo JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2016
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 1,871
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  BIR kukujibu vizuri sana na kuweka msimamo wa wewe kufanya biashara. Mimi picha naomba kuongea kidogo.

  Ni vizuri ukasema upo maeneo yapi ili upewe ushauri kwa kuzingatia eneo ulipo.
  Msingi wa kufanya maamuzi sahihi ni kuwa na taarifa sahihi. Tafuta taarifa zinazoweza kukusaidia kufanya maamuzi sahihi.

  Matatizo yanayoizunguka jamii ndio fursa ya biashara, yaangalie kwa maono tofauti.
   
 5. Side buggati

  Side buggati Senior Member

  #5
  Jun 14, 2016
  Joined: Feb 8, 2015
  Messages: 102
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Na inabidi ufunguke unapendelea biashara gani ili tuweze kutathmin
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...