mchumi boy
Member
- Jun 4, 2016
- 70
- 31
Wadau wa JF, hayo maneno mawili yananitatiza, ambaye anafahamu tofauti zake tufahamiane.
Wewe mchumi kweli?Wadau wa JF, hayo maneno mawili yananitatiza, ambaye anafahamu tofauti zake tufahamiane.
Saving ni kuweka akiba, investment ni pale unapo wekeza pesa yako sehemu ili uzalishe pesa zaidi..
Mfano, unapo jenga nyumba kwa ajili ya kukodisha, kununua hisa kwenye makampuni, hizo ni investment..
Lakini unapo weka hela yako benk kwa ajili ya matumizi pale utakapokwama, hiyo ni savingi..
Hivyo ndivyo nijuavyo mm..
Savings = Investment
Investment is an income generating activity
Saving is a 'stored' income which can be used for future consumption or investment

Yeah. Wachumi ndio wanatuambia hivyo...Mhmhhhh kumbe mpo wengi hiyo terminology inawatatiza, yani kweli savings=investment
Wewe mchumi kweli?
Savings= akiba
Investment = Uwekezaji.