Mnada wa vifaa vya magari msimbazi kariakoo unaongeza wizi

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,585
Samahani kama kuna atakaechukia

Kunamnada unaoendelea pale kariakoo msimbazi wa vifaa vya magari mnada huu unajulikana wazi na kinachofanyika wezi huiba vifaa vya magari majumbani na kuviwakilisha pale kariakoo

Tunaomba jamani mamlka husika isimamie hili else inaongeza wizi endelevu kwenye vifaa vya magari unalala hata auna amani kabisa
 
Hoja yako haina msingi.Unamaanisha kwamba kama mnada huu utafungwa na wizi wa vifaa vya magari utaisha?.Hata hivyo si kweli kwamba pale mnadani vitu ni vya wizi na hata kama vitakuepo sio kwakiwango hicho.
Hakuna mnada wa simu lakini bado tunaendelea kukwapuliwa simu zetu,nafikir hilo sio suluhisho.
 
Back
Top Bottom