Tushirikiane, tujijenge

Mr dotNet

New Member
Jun 15, 2016
1
1
Jamani wadau mimi nina idea juu ya kuondokana na utegemezi wa ajira. Binafsi nafanya programming na tayari nina software mkononi nimeshatengeneza, ninachotaka ni mtu wakushirikiana naye ili tufungue NGO yetu tuweze uza kazi zetu nipo Arusha
PIA NIKIPATA MWENZANGU AMBAYE NAYE ANAJUA PROGRAMMING TUJOIN ALAFU TUFANYE WOTE NITASHUKURU NIKIFANIKIWA AYO niko Arusha najishulisha na ujasiliamali, pia nafanya programming. jaemsoftfound@gmail.com
 
Back
Top Bottom