Ushauri kuhusu biashara ya asali unahitajika

DREAMBOY

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
2,117
1,368
Habari wadau!
Naomba nipatiwe elimu au ushauri kuhusu biashara ya asali, nataka kuifanya ila napungukiwa maarifa kwenye mambo yafuatayo;
-Vibali vinapatikanaje na nivingapi?
-Gharama ya kila kibali na kwa ujazo upi?
-Vifaa sahihi kati ya plastic au iron katika usafirishaji?
-SOKO LAKE NA SHILINGI NGAPI KWA LITA ? NA UHAKIKA WAKE,WAPI HASA HAPA NCHINI?
- Uharibikaji wake ,je inawahi au huchelewa?
-kodi /ushuru nao ukoje?
Tafadhalini watanzania wenzangu nataka nijaribu na Mimi kukimbia nmechoka kupanga, hivyo ushauri wenu na utarajia.
Nawasilisha!
 
Back
Top Bottom