lup
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 2,514
- 2,737
Kuna rafiki yangu ambaye sio.mtanzania na anahitai kuja hapa kwa lengo la kuwekaza lakini yeye ananisikiliza mimi zaidi ingawa mimi nilishauri awekeze kwenye afya....
Sasa kitu ninachihitaji kujuwa au mnisaidie ni; endapo kama atahitaji mimi niwe msimamizi wa miradi yake, kisheria ni vitu gani anatakiwa kuwa navyo kwa ajili ya usajiri wa mradi huo, pia ni mkataba gani tunapaswa kufanya kati yangu mimi na yeye, lakini pia ni ofisi zipi tunapaswa kupitia kwa ajili ya kufanikisha yote hayo.
Lakini pia endapo kama atahitaji kuwekeza kupitia jina langu naye asijulikane... (moja kwa moja), je ni hatua zipi za kupitia na huo mkataba tuuandikeje... lakini pia ni ofisi gani za kupitia toka mwanzo wa zoezi hadi mwisho.
NB: Nimeuliza hivyo kwa sababu mimi ndio nilimuambia mwanzo kuwa kwa sababu za kiusalama kati yetu sote kuna mambo ya kisheia ya kufata. na amekuwa akinisisitiza kuwa kama akifika nchini... taratibu hizo za kusaini hazitasubua. So mimi kiukweli sijui chochote ni kama zari na ameanza kufuatilia visa so mda wowote akipata atakuja..
NAOMBENI KUSAIDIWA HAPO.
nitashukuru sana