habari!
nafikiria kuanza biashara ya kuuza nyama ya ng'ombe naomba ushauri mwenye uzoefu na changamoto zake nimefanya research kidogo nimeona inalipa.
nawakilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.