Unaweza kuwa na mipango mingi, lakini hiyo mipango bila kuwa na watu sahihi wa kuitekeleza usitegemee kuwa tajiri.
Hawa watu ndio watakao kutengenezea vitu, watakao fanya mauzo, watakao toa...
Ni dada ambaye lazima apeane na like kwa kila post hapa JF.anaonekana n asiye na ubaya na yeyote.
Kama hajapita na like kwenye post yako itabidi......????
Day 2:
Karibuni tena wataalamu wa jiografia. Leo ni raundi ya pili ya Club Mate’s Geography Quiz.
Leaderboard:
1. Al Watani - 8pts
Taja nchi sahihi kwenye categories zinazofuata.
Kila jibu 1...
Habari wakuu,
Kwa wale tunaopenda kusafiri mikoa mbalimbali au hata wale tunaojivunia asili zetu, huwa kuna mkoa unaokubali kwenye mambo ya Misosi.
Mfano kuna mshikaji wangu yeye anapakubali...
Nakumbuka baadhi ya majina ya walimu waliyopewa na wanafunzi kama ifuatavyo:
1. Solar system - mwalimu wa geograph form 1 au 2 alifundisha solar system akapatiwa jina hapohapo
2. Bambabay -...
Day 1
Wataalamu wa jiografia karibuni kwenye siku ya kwanza ya Club Mate’s Geography Quiz. Wa kwanza kutaja jibu sahihi la category moja atapata point moja, wa kwanza kutaja majibu yote sahihi...
Nameless girl popote ulipo chukua maua yako, kwani ulitubirudisha kwa riwaya za Ben Mtobwa (R.I.P).
Ikikupendeza rudi jamvini maana mara ya mwisho kuonekana humu ilikuwa 2024.
........
adriz...
Wakuu, nijitambulishe!
Kwanza awali ya yote naitwa AXIOM APEX VERBOSE
hii ndio ID pekee ninayoitumia JF sina ID nyingine ukiondoa hio.
Tuache hayo. Turudi kwenye mada.
Ninaomba kufahamu wewe...
Tumezoea kuona mitumba kutoka Ulaya, Marekani, Canada, Korea, Uturuki, China n.k
Ila sijaona mitumba yoyote sokoni kutoka nchi za kiafrika, tatizo ni nini?
Nguo zetu zinazochakaa, zinazotubana...
Baada ya bilionea mstaarabu wa Katoro Kahama Sylvester Buyamba na wenzake kuvunja Internet kwenye send off ya kufukuru na kutetemesha mitandao ya kijamii Africa mashariki, kati, kusini hadi...
Mida ya kupumzika na kutuliza akili hizi ndo nyimbo pendwa
1."sacrifice by Elton John
2."Sexual healing" Marvin gaye
3."kenny G " forever I love
4 "Joe ".i believe in you
5. "Ruben studdard" I...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.