Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,554
- 60,915
Dunia yote inaamini, wana JF wote ni wastaarabu.
Je, wewe ni mstaarabu? Kama ni ndio, tuonyeshe huo ustaarabu wako.
Je, wewe ni mstaarabu? Kama ni ndio, tuonyeshe huo ustaarabu wako.
Nawe unajiita ni mstaarabu?Mada kama hizi unatakiwa ulete ukishamaliza kuchambua mchele dadaako ampikie shemej mapema
Kwa vigezo vipi?mimi ni mstaarabu sana
Tena grade ANawe unajiita ni mstaarabu?
Kwa vigezo vipi?Tena grade A
Shikamoo ya nini?Shakamoooo equation
Huyu naye anaaminiwa ni mstaarabuKmmk
niniKama nitawezeshwa 😜
Ndo nitastarabika lasivyo ni kama noma na iwe noma 😜nini
ili ujue kama mstaarabu sipitagi bila kusalimia!Shikamoo ya nini?
Ni nani aliyekuaminisha, kusalimia salimia watu ndio ustaarabu? Je ulishawahi kuwasaidia wazee wa kijiji chako?ili ujue kama mstaarabu sipitagi bila kusalimia!
MUNGU akutie nguvu madam....Kama nitawezeshwa
nikianza kujielezea ntakua mwanasiasa we amini tu kwamba mimi ni mstaarabuKwa vigezo vipi?
Taja vigezo vitatu tunikianza kujielezea ntakua mwanasiasa we amini tu kwamba mimi ni mstaarabu