JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimekuwa nikiona mara kwa mara nyuzi zinazoulizia wanachama ambao wamepotea jukwaani kwa muda mrefu, wengine miaka mitano, minane au zaidi. Sasa naelewa kwa nini jambo hili hutokea.Najua ukimya...
4 Reactions
16 Replies
241 Views
We nunua gari acha mkweche. Unaanzaje kunua gari milioni 3 bora uchukue boda au guta ufanye biashara Matusi ruksa😀
2 Reactions
3 Replies
88 Views
Wewe ni mtu wa kuchill nyumbani 🏡 au wa kutoka kwenda viwanja
1 Reactions
0 Replies
55 Views
Wadau ilishaletwa thread hapa kuhusiana na hizi status na profile picha za watsap, mkewangu ni muathirika wa hili, status zake za ovyo yaani kana kwamba hajaenda shule. Profile picha zake ndo...
20 Reactions
178 Replies
21K Views
Kuna jamaa aliwahi niambia kama mimi angekua yeye, angetembea na wadada wengi sana, nikamuangalia nikajua ndio uhalisia, wanaume wengi hawana mvuto kwa wadada, Asilimia kubwa ya wanaume...
1 Reactions
3 Replies
79 Views
Habari za muda huu wana jamiiforums, Okay tuanze, mara nyingi tunafikiri "raha" inatokana na vitu vikubwa tu kama pesa au mapenzi. Lakini kisayansi, ubongo wetu unazalisha kemikali za furaha...
1 Reactions
11 Replies
115 Views
Kununiwa na mke kusikie tu usiombe yakukute Weka mkasa wako
1 Reactions
0 Replies
51 Views
Nakumbuka ilikuwa Mwaka 2008 mwezi Juni nilikuwa naenda kikazi Lusaka, Zambia basi sijui hili wala lile kwenye tiketi iliandikwa saa ya ndege kuondoka saa 12 asubuhi (ndege ndo inapaa) mimi...
64 Reactions
2K Replies
354K Views
Moja kwa zote kwenye mada!! Kifo kisikie tu wakuu leo baada ya mvua na radi kubwa na nyingi niko zangu mtaan nimejibanza sehem nikisubili hali ipoe niende na mishe zangu Sasa kilichofatia hapo ni...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
SHEMEJI: bandiko ni kitu gani na inatoka wapi? KIJANA: Si unajua shemu mimi JF ndio napotezea mawazo, sasa nimepigwa ban, siwezi ingia SHEMEJI: ndio maana asubuhi hadi jioni upo na simu tu tena...
4 Reactions
14 Replies
231 Views
Habar za Jumapili wakuu Mlioenda kanisan mmekumbuka kutuombea sisi wengine
3 Reactions
24 Replies
266 Views
Nani wana nafasi ya kipekee peponi kwenye ulimwengu wa jinsia pinzani?
19 Reactions
258 Replies
3K Views
Dah the voice kinyerez habari nyingine watu wanakula maisha Acha tuu karibun the voice
3 Reactions
10 Replies
666 Views
Kifungua kinywa (breakfast) bomba ni kipi?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Asubuhi: Ma-Don wa Chai ya Rangi Siku inaanza saa kumi na moja alfajiri kwa nyuzi za kujimwambafai. Raia wanaanzisha mada za "Niko Five star hotel Dubai..nakunywa capuchino ya Brazil huku...
8 Reactions
72 Replies
608 Views
Mtu una acha kupiga mswaki una kazi ya kutafuna vitunguu saumu asubuhii na karafuu mdomo una anza kunuka kitunguu saumu aseee pigeni mswaki wengine hiyo harufu ya kitunguu ina kera sana hasa...
18 Reactions
85 Replies
769 Views
Asalam aleykum Sheikh.🙏🙏 Sheikh mie ni pagani.Ni atheist mie.Siitikii kengele wala adhana na kabla ya madhila hii kukupata sikuwa nikikufahamu na nashindwa kukupa pole sheikh sbb sijui kwanini...
7 Reactions
31 Replies
481 Views
Back
Top Bottom