Mimi kama kijana wa kitambo kidogo 1986 January kwa sasa tunatimiza miaka 40 na wale wa mwishoni 86 🤔
Kuna changamoto zetu spesheli tunazopitia kama kurelax na kuona ndio tumefika kwa...
Hellooo gud pipo,na bad pipo natumai mko poa sana jumapili tulivu ya leo,mimi shemeji yenu niko poa kabisa ila leo nina salamu zenu wanaume. Leo nitatuma salamu zangu kama" Ex Strong woman",miaka...
Ni kama wiki 2 hivi nlikuwa busy na nikawa mapumziko. Sikuwa natumia JF, whatsapp, insta, wala mtandao wowote wa kijamii. Huwa nafanya hivyo kila mara. Najitenga na ulimwengu huu.
Nimerudi juzi...
Kuishi miaka mingi ni utajiri tosha kwa mwanadamu, kuliko yule aliyekuwa na utajiri mkubwa na kabla ya kufikisha miaka 70 akakata moto.
Wapo wanaosema, ili kufikisha miaka mingi inakulazimu kila...
Juma tatu sio sio ya kukaza mafuvu , jumatatu ni siku ya kula pombe na kulegeza ubongo...
Unakaza hilo bichwa lako Jumatatu halafu Jumamosi huna chochote zaidi ya kugongea bia ,jitambue . ...
Ukiweka imani pombe inamaliza pesa na kweli itaisha .....
Ukiweka imani pombe inakufnya ufanye mambo ya kijinga ni kweli itafanya....
Ukiweka imani pombe inakupa akili ya kutafuta pesa na...
Madame B, Evelyn Salt , Zion Daughter, FirstLady1, Nazjaz, cacico, Asha D Abinallah , Kipaji Halisi. Asprin, Arushaone , Kaka kiiza, kuna jambo letu pande hizi
Kuna sisi tuna vibe la kibongo bongo pesa inatutembelea kwa wakati😅...
Tusivunge wakuu ,ebu tufanye kutamba 😆....
Japo nikidogo tu ila kuna namna tunaishi😇...
Bongo wanaoishi maishi ya kula...
Karibu mwenetu wa faida kutoka kwenye ban , ila sijajua kosa lako , ila siwalaumu mods , seran karibu sasa sisi wafuasi wako ,tuna kukubali kinouma 🤗
Seran ,She carries the weight of the world...
secretarybird jaribu kumpinga kuhusu punyeto
Kiranga jaribu kusifia dini mbele yake
min -me jaribu kusema kuwa pombe ni mbaya
anasbo jaribu kuwa-diss wadada wenye makebo makubwa
ngara23...
Salaam, wanajf, napenda kuwatafuta wadau muhimu katika jukwaa hili la jf. Baadhi ya Ni Kama
1. TO YEYE
2. KICHWA KICHAFU
3. FAIZA FOX
4. SKY ECLAT
4. MPWAYUNGU
5. WA STENDI
Jamani, watu Hawa mko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.