Yes kama ni mdada kweli hata mimi namkubali kapoa,sana tabia ya mtu huonekana Kwa nje hata kabla hujamuona fizikale.
Mfano kuna mshikaji mmoja niliwahi kufanya naye biashara zaidi ya miezi nane,natuma pesa na anatuma mzigo
Mzuri kama kawaida hata siku nimekutana naye namuona Kwa mara ya Kwanza nilifurahi sana.
Lakini pia kuna dada niliwahi kupewa namba zake Kwa sababu za kibiashara nikawa nachat naye WhatsApp alikuwa anaishi Norway,Kwanza alikuwa anajitambua kwasababu kwenye chatting zetu alionesha yupo bright vibaya mno hata siku ananiambia nipo bongo nilivyomuona kweli alireflect