Elevenn
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 9,775
- 19,447
Guys am back...
Better than who I was...
Ni mimi de Gunner. Tafadhari Moderator rudisheni jina langu la de Gunner
Maisha ya ban mabaya sana, it's not worth it. Najua humu kuna anonymous IDs ila isikufanye ukwa big headed kujifanya unaweza kuvuka mipaka.
Hakika nilizidisha egoism, imagine inaipa staff ya JF na mods masaa kadhaa eti wampige ban mtu kwa matakwa yangu😂 guys, it was insane.
Ila yote kwa yote, the ban was necessary Hakika nimekuwa now. Kuna watu humu walikuwa wananiona kama role model ila ile incident iliyo tokea ilinishusha viwango and I know that kuna watu watakuwa wananipersieve kivingine from now onwards. Yes, ndo imeisha tokea I have to lay in the bed I made.
Wale wote nilokuwa tunakwazana humu just know I was playing, ila nilizidisha mashambulizi which of course it turns into chaos. Wakuu now am well behaved, thanks for ban.
I even picked up some good habits
Currently reading...THINK BIG
Lakini pia nimekuja kujua jf isn't a home great thinkers kuna mchanganyiko wa aina mbali mbali za watu...
Kuna walevi, kuna malaya, kuna mashoga, kuna wajinga, kuna werevu, wajuaji, kuna matapeli, kuna watu wenye nongwa na stress, kuna wenye nogwa. It's like any social community containing all kinda people.
Lakini pia kuna watu wenye like mind pia, watu ambao unaweza kuvibe nao, hao ndo watu wa ku focus nao. Tusipoteze muda ku seek validation.
We waste our time and energy to wake up a sick society. As jiddu Krishnamurti puts it
Kwa Wale watani wangu matani yako pale pale. Maisha yaendelee nilowaudhi siombi msamaha na nyie mliniudhi vile vile.
Tuishi kigumu hivyo hivyo. Sometimes comformity will make you invisible in this world.
Wamatumbi tuta endelea kukumbushana kama kawaida tu. Ila sasa hivi itakuwa kiutu uzima sio kufokeana😂
meghan markle min -me ephen_ binti kiziwi Binti wa zamani