Nini maana ya Kudadeki?

Nini maana ya Kudadeki?

We jamaa nilikuwa nakutafuta muda mrefu sana, kudadeki leo nimekubamba!, kudadeke leo nitapiga mtu kama sitalipwa hela yangu. Ni neno la kuhanikiza mshangao kwa kilichotokea kwa shauku kubwa
 
Back
Top Bottom