Habari wakuu,
Kwa wale tunaopenda kusafiri mikoa mbalimbali au hata wale tunaojivunia asili zetu, huwa kuna mkoa unaokubali kwenye mambo ya Misosi.
Mfano kuna mshikaji wangu yeye anapakubali sana Mara anasema Kuna Sato, sangara, dagaa, maziwa na nyama kwa sababu wakurya wanafuga sana ng'ombe
Kwa watu wa Pwani wanapasifia sana kwa Maankuli ya vitoweo kutoka baharini, watu wa Supu ya Pweza, Papa na ubwabwa wa nazi.
Zaidi wengi hupasifia Mbeya kwamba kuna vyakula vingi ila sijajua upande wa mapishi hali ikoje