Karibu mwenetu wa faida kutoka kwenye ban , ila sijajua kosa lako , ila siwalaumu mods , seran karibu sasa sisi wafuasi wako ,tuna kukubali kinouma 🤗
Seran ,She carries the weight of the world...
secretarybird jaribu kumpinga kuhusu punyeto
Kiranga jaribu kusifia dini mbele yake
min -me jaribu kusema kuwa pombe ni mbaya
anasbo jaribu kuwa-diss wadada wenye makebo makubwa
ngara23...
Salaam, wanajf, napenda kuwatafuta wadau muhimu katika jukwaa hili la jf. Baadhi ya Ni Kama
1. TO YEYE
2. KICHWA KICHAFU
3. FAIZA FOX
4. SKY ECLAT
4. MPWAYUNGU
5. WA STENDI
Jamani, watu Hawa mko...
Duuh
Usiku, nimeoga na kusali na kujiandaa kupanda kitandani nikateleza na kuanguka kwa maumivu makali nikajikongoja mpaka kitandani, katika kuugulia nikagundua nimepasuka kichwani na damu...
Tar 1/08/1986 nilizaliwa
Ninafuraha kubwa kusherekea siku yangu ya kuzaliwa huku nikifurahia upendo wa Mungu juu ya maisha yangu.
Nichukue nafasi hii kuwashukru moderators wa jukwaa hili kwa...
Ukija na akili yako ya kiyumbu humu unakalishwa kilaini sana 🤣
Humu unatakiwa ukae kiaskari , hakuna fala ila mafala wapo ila wakielewa game wana badilika haraka.
Humu kuna wasomi, matajiri...
Hili swali nimelikuta sehemu nikavutiwa na mjadala wake,
Hivi kabisa mwanaume amlinde mwanamke dhidi ya nani? Mjusi? Mende? Panya? Buibui? au Mdoli? Lol,
Ni lini Mwanamke akahitaji ulinzi wa...
Wapendwa habari zenu.
Leo nimeona niwaletee vi story vyangu na vitakuwa vinapatikana humu kwa mtindo wa picha za zamani na matukio yake.....
1. story namba moja
Hapo chini nakumbuka ilikuwa...
Ndomana mnafanyiwa ukatili, bora useme ukweli hutumii pombe mm nitakununulia hata wine ya Namibia nitalipa. Sio kunidanganya nakufanya uhuni wa kipumbavu unakunywa Maji non stop chupa tano Kwa dk...
Guys am back...
Better than who I was...
Ni mimi de Gunner. Tafadhari Moderator rudisheni jina langu la de Gunner
Maisha ya ban mabaya sana, it's not worth it. Najua humu kuna anonymous IDs...
Hili swali linawahusu wale ambao hawatumii majina yao ya kweli hapa ukumbini. Je, jina lako lina maana yoyote? Kuna sababu yoyote ile iliyokufanya uamue kutumia jina hilo!?
Nilikuwa nimeamua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.