Vigezo anavyotumia Kikwete kuteuwa vigogo wa serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vigezo anavyotumia Kikwete kuteuwa vigogo wa serikali

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by VIKWAZO, Jun 16, 2011.

 1. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Nimekuwa natafakari kwa muda mrefu ni vigezo gani anatumia kikwete kuteuwa VIGOGO wa serilika yake ni vipi
  kwa mfano pamoja na mrindoko kupata kashifa nyingi hasa ya richmond alimkumbatia na baadaye kumpa unaibu waziri wa maji wizara muhimu na yenye mafungu ya kutosha (pesa)
  Mkuu wa usalama wa taifa na jaji mkuu ni mtu na mdogo wake hawa ni familia moja, kazi ya mahakama nchi kwa sasa kila mtu anaijua hachia mbali mambo ya rushwa kuna amria kama kukamatwa kwa MBOWE na askofu mkuu wa anglikani kila mtu anajua nini kilitokea baada ya mbowe kukamatwa na kupewekwa ARUSHA lakini pia amri ya kukamatwa kwa askofu mkuu imekuwa na speed gava mpaka juzi kati kawambia polisi yuko Arusha waka mkamate.
  nakuja kwa huyu IG ambaye inasemekana ni shemeji yake kabisa kwa wa kumuoa dada yake wa damu, kazi ya polisi hiko wazi
  kabla ya kuchaguli akiwa mbeye kama RPC mahabusu 26 kwa kukosa hewa kutokana marundika alitolewa na kupelekwa interpo huko nairobi lakini mkubwa alipokamata nchi alimpachika hapo harakaraka


  sasa basi kwa kuangalia hapo juu na wengine wengi kama hawa kima mkullo wanaosoma bajeti fake kila siku ili sio kundi la kumlinda mzee kweli maana wote wamefadhiliwa kiundugu au kunyanyuliwa walipokuwa wametupwa kwa kukosea,
  kwa mimi kikwete anataka watu wana aina hii katika serikali yake?

  kuna mimi ambacho kinamfanya ateuwe watu ambao ni rahisi kuwa blackmail kutoka na historia zao au utumishi wao wa nyuma
   
 2. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,036
  Likes Received: 3,067
  Trophy Points: 280
  Na hilo ndo kosa la kimsingi analolifanya na linalomtafuna mpaka wa leo...mfano mzuri ni E.L,Mwinyi,n.k ni vizuri make mwisho wa siku wanaikwamisha serikali yake na sie CDM tunapenda aendelee hvyo tuzidi kugonga hodi ikulu na kutwanga kotekote
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Binafsi sina shida na ishu 'undugu' kwenye uongozi. Hata kama Kikwete angeweka familia yake yote kwenye baraza la mawaziri sina shida hata kidogo. Shida yangu ni hii: are they compentent to hold that positions? Are they saving Tanzanians- all Tanzanians and not just the few? Do they execute their duties in accordance to the laws of this country?
   
 4. mchapa shughuli

  mchapa shughuli JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 524
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 80
  Sahihisho: Bashir Mrindoko-naibu katibu w/maji
   
 5. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  shukurani mkuu nimekubali
   
 6. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #6
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  mkuu sidhani kama hiyo ni wazo zuri sana kwa taifa
  mimi ningependa kila chama kiwe na maslahi ya taifa kwanza
   
 7. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #7
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  kwa mazingira hayo hapo juu unadhani sababu ni undugu au kulindana?
  lakini pia kama ni kiongozi mzuri kwa nini ufanye hivyo
   
 8. kongomboli

  kongomboli Senior Member

  #8
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Usihangaike sana mkuu kigezo anachotumia mkulu ni kimoja tu :ZAMU YETU
   
 9. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #9
  Jun 17, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hii inaweza kuwa ni kweli kabisa
   
Loading...