Wapemba na shimo

mwl

JF-Expert Member
May 25, 2011
1,101
913
Kijiji kimoja Pemba ilikuwa kuna shimo km 1 kabla ya kukifika, wenyeji huwa wakipita hapo huanguka na kuumia, wakashauriana nini la kufanya. Majibu kwa asilimia yalikuwa kama ifuatavyo:-
1. Iletwe ambulance karibu ili atakae anguka awahiwe haraka. 21%
2. Ijengwe hospitali karibu atakae umia awahishwe kupata matibabu. 28%
3. Lifukiwe lile shimo lichimbwe jengine karibu na kijiji iwe rahisi kumchukua alieumia.22%
4. Lichimbwe shimo jingine kando yake watu wasiangukie ktk lile la kwanza. 29%
 
hahaaaaa!
hakiamama, sasa kwa hyo hizi ndo zilikua best solutions!!
hii unataka tuwatafsiri ipi wapemba!!

duh! nikichoka hua naingia humu manake narefresh.
 
hivi inamaana serikali ya Tanzania imejaa wapemba tu, mbona solution za matatizo ya nchi ni za style hiyo tu.?
 
hivi inamaana serikali ya Tanzania imejaa wapemba tu, mbona solution za matatizo ya nchi ni za style hiyo tu.?
Mimi Mpemba, nimeipenda sana hii lakini ingelikaa vizuri zaidi kama wahusika wakuu wangelikuwa JK na Baraza lake la Mazezeta
 
Back
Top Bottom