Nisaidieni ndugu yenu

ADAM MILLINGA

Senior Member
Apr 27, 2011
117
13
Habari wana jf mimi naishi manzese nataka sana kufatilia vikao vya vijana bavicha na zaidi kujitolea kwa cdm lakin sijui kuna taratibu gani plz nisaidieni nifanyaje kwan hapa mtaani kwetu kipo chama cha mafisadi tu ivyo naitaji kuwa mwanachama hai mwenye card mimi na familia yangu nitashukuru iwapo mtanipa ushirikiano asanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom