House girl na Condom... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

House girl na Condom...

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mkare, Jun 15, 2011.

 1. M

  Mkare JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  House girl alipokuwa akifagia chumba akaona condom uvunguni akauliza hii ni nini? Mama akamjibu kwenu hamt... Housegirl akajibu...tuna t...lakini sio mpaka ngozi itoke...
  G9t my pipo, naona huu mwezi uliokamatwa hauachiwi....lol
   
 2. Delucaz

  Delucaz Member

  #2
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiyo nayo imesimama wima, big up
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mwezi umeshaachiwa kamanda ili kdg thread imenikenua meno.
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mwezi umeshaachiwa kamanda ila kidogo thread imenikenua meno.
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Jun 16, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Ahahahaah!! Kumbe kondomu ni ngozi.
   
 6. tpellah

  tpellah Member

  #6
  Jun 16, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pouwa mkubwa tatizo house gal alikuwa hajui dawa ya penz afu anaonekana wa kuja ya bush katoka juz kat 2
   
 7. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #7
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  mama chunga hoohoooo.... unamkumbusha fisi mizoga? cku akitaka kutest jinsi ngozi inavyotoka
  usilalamike hoo katembea na mme wangu.
   
 8. S

  Samuel A K Member

  #8
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mama hapo umekwisha, maana bek3 huyo kakwambia yeye huwa anakula kavkav. Ataitafakari hiyo ngozi na aende kumwambia mmeo kwamba anaweza msaidia ngozi isitoke na wabush anavyojiachia!!!!!!!! utakomajeeeeeee!!!!!!!!
   
 9. mseseve

  mseseve JF-Expert Member

  #9
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 518
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  mkubwa hiyo imetulia huyo bek3 inaonekana ni bonge la mjanja wa kujibu maswali papo kwa papo
   
Loading...