Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,082
- 2,358
Jamaa mmoja alikua ameulamba viwalo vyake fresh kabsa,akawa anapta vchochoron,mara akakutana na kundi kubwa la vibaka wakamteka,wakamwambia atoe alicho nacho kabla hawajamjeruhi,jamaa akawa mkaidi,bac wale vibaka,wakampga yule jamaa hadi wakamuumiza,wakamsachi mfukon,wakachukua wallet yake,kuisachi,wakakuta kuna shling 500 tu,wakamuulza ina maana umekubali 2kuumize hvi sababu ya kuifcha hii sh mia tano?jamaa akajbu hapana,nlikua nataka msiione laki moja yangu nliyoificha kwenye socks za via2.