Wana magamba

Wana magamba

mwl

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
1,101
Reaction score
914
Wana-CCM wawili a.k.a. wavua magamba walikuwa wakizungumza, mmoja akamwambia mwenzake kuwa mkewe amejifungua pacha 3 kutokana na kusoma sana mambo ya RACHEL, mwenzake akataharuki sana na kutaka kuondoka haraka kulikoni? akasema na yeye mkewe ni mja mzito na haachi kusoma habari za siku 90 walizopewa mapacha watatu, anamuwahi asije jifungua pacha 90.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom