JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Una ndoo mbili,A na B.Ndoo A ina lita mbili za vinegar na ndoo B ina lita mbili za maji.Chukua lita moja ya vinegar kutoka ndoo A kisha changanya na lita mbili za maji katika ndoo B.Changanya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
One day, John came home with another one of his unusual purchases. It was a robot that John claimed was actually a lie detector. When Tommy, their 11 year old son returned home from school passed...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii ni mahususi kwa wauguzi/wakunga/watoa huduma za afya/ n.k waliosoma Ndolage Nursing School.. Hiki chuo kilikuwa na mandhari mazuri sana ya kusoma na kujifunza na kufanya majaribio kwa...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Asante Mungu kwa kumchukua FATAKI aliye kuwa anatuharibia wanafunzi wetu, ndio maana hata matangazo ya kuwatahadharisha watoto wajikinge na Fataki siku hizi hayapigwi kwa kuwa kisha fariki.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
James and Jerome were on a camping and hiking trip.They had gone to bed and were lying there looking up at the sky. (JAMES ASKED):Jerome,look up,what do you see? (JEROME):Well,I see thousands of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waswahili 2 wavivu sana baada ya kucheza bao wakataka kuita taxi iwapleke msibani, kila mmoja anajisikia uvivu kuita taxi, baada ya mabishano marefu mmoja akaita taxi iliyokuja na kusimama mbele...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimekuwa natafakari kwa muda mrefu ni vigezo gani anatumia kikwete kuteuwa VIGOGO wa serilika yake ni vipi kwa mfano pamoja na mrindoko kupata kashifa nyingi hasa ya richmond alimkumbatia na...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana-CCM wawili a.k.a. wavua magamba walikuwa wakizungumza, mmoja akamwambia mwenzake kuwa mkewe amejifungua pacha 3 kutokana na kusoma sana mambo ya RACHEL, mwenzake akataharuki sana na kutaka...
0 Reactions
0 Replies
969 Views
Jamaa wawili walipigana harufu iliyokuwa ikitoka ni ya tairi kuungua, kuja kuwaangalia kumbe ni Jaluo.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwanafunzi alamuuliza mwl wake hivi honey ina miguu? mwl akamjibu haina nani kakwambia? mwanafunzi akamjibu kila mara namsikia baba usiku mwingi akisema honey nyanyua miguu. Mwl akashikwa na butwaa.
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Kama mbunge analala hotelini kwa 50,000 kwa siku,je,inagharimu kiasi gani kwa wabunge wetu 350*50,000kwa siku*siku za vikao vya bunge*miaka5?? Hivi ni kwa nini serikali isiingie mkataba na NSSF...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mnamo tarehe 22-12-2010 waziri wa elimu alikuja Udom kutatua tatizo la wanafunzi kutokwenda field ila alitoa tamko kwamba TCU ipo chini yake atakwenda kuiagiza ipitishe degree zote zile ambazo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Babu alimwambia mjukuu wake jifiche umetoroka shule,mwalimu wako anakuja: Mjukuu:akamjibu jifiche wewe kwa sababu nilimuaga umekufa,nimekuja kukuzika. UNGEKUWA WEWE NDIO BABU UNG'EFANYAJE?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana jf mimi naishi manzese nataka sana kufatilia vikao vya vijana bavicha na zaidi kujitolea kwa cdm lakin sijui kuna taratibu gani plz nisaidieni nifanyaje kwan hapa mtaani kwetu kipo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani tunaomba msaada wa video ya mheshimiwa zitto akitoa speech ya budget au kama mtu anajua inapatikana wapi (source)tufahamishane please wengine sisi ni wapenzi wa kusikiliza kuliko kusoma.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nafahamu huyu jamaa alikuwa anafanya kazi PSI-TANZANIA kama buyer, ila sikumbuki kama alikumbuki kama jina la obama alikua nalo, wadau mnaomjua huyu jamaa naombeni data.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Jamaa mmoja alikua ameulamba viwalo vyake fresh kabsa,akawa anapta vchochoron,mara akakutana na kundi kubwa la vibaka wakamteka,wakamwambia atoe alicho nacho kabla hawajamjeruhi,jamaa akawa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Siku moja bwana Mungo park alifika kando ya mto niger akiwa na farasi wake.Alimfunga yule farasi kwenye mti wa karibu kisha akaenda kuoga mtoni.Alipokuwa akirudi,alielekea kule alikomwacha farasi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
House girl alipokuwa akifagia chumba akaona condom uvunguni akauliza hii ni nini? Mama akamjibu kwenu hamt... Housegirl akajibu...tuna t...lakini sio mpaka ngozi itoke... G9t my pipo, naona huu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamaa wawili walikaa meza moja bila kujuana kama wote ni MASHOGA, Pombe ilipokolea mmoja akapendekeza waulizane methali..atakayepata anamfira mwenzie. Shoga wa kwanza akatoa methali rahisi ili...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…