Jamani huu ndio ukweli toka moyoni mwangu

Jamani huu ndio ukweli toka moyoni mwangu

kokudo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
2,571
Reaction score
1,782
Nimewamic sana wana wa jamiiforum.ni cku nyingi sana cjadondoka humu nahc mpaka nimekua mgeni tena ingawa wapo watakao nikumbuka.
Namshukuru mwanajamii alienitoa stoo nilikokua cku zote amenionyesha upendo wa khali ya juu na wewe utakae 2pia mchango wako hapa.
Nawapenda wote.
 
mkuu nini kilikusibu?au ulikuwa mererani?
 
karibuuuuuuuuuuu..missng u2 bebbbb mwaaaaaa mwaaaaa mwaaaaaaaaa!!!!!!!umerud na zawad gan?
Hahaha no rose ni upendo wa dhati kwa wana jamvi wote hope utafurahia c ndio?
 
Ha ha ha Kokudo ulikuwa stoo pole sana bana.

Acha kupotea bana mie nakumbuka tu
Mikoba ya wanawake na Hawa member wana muda gani humu
ha ha ha usinitoe macho lakini

Karibu sana nimekumiss sana bana kha!!!
 
Habari yake kokudo umepotea na malalamishi yako,,,,,, 77 oyeeeeeeeeeee
 
Nimewamic sana wana wa jamiiforum.ni cku nyingi sana cjadondoka humu nahc mpaka nimekua mgeni tena ingawa wapo watakao nikumbuka.
Namshukuru mwanajamii alienitoa stoo nilikokua cku zote amenionyesha upendo wa khali ya juu na wewe utakae 2pia mchango wako hapa.
Nawapenda wote.

  • sina uhakika kuwa kweli watupenda sote.................................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom