Wabunge wetu na pande mbili za Ubongo

The Planner

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
357
118
Naomba nianze thread yangu kwa kuwakumbusha kidogo physics, Nadhani wengi mnakumbuka jinsi pendulum inavo-swing kushoto na kulia. Sasa nataka kuirelate movement ya pendulum na ubongo wa binadamu kwamba nao in kama unamove pande mbili ambazo ni Sense and Non-Sense, na mara nyingi mtu anapotoa maamuzi inategemea ubongo wake uko upande gani kwenye sense au non-sense.

Nina mashaka kwamba wengi wa wanasiasa wetu hapa TZ muda mwingi wakati wa kutoa maamuzi bongo zao zinakuwa upande wa non-sense, hebu refer vikao vya bunge then angalia watu wanavyotoa maamuzi unaweza usiamini madudu wanayopitisha....Non-Sense!
 
kweli ndugu yangu inatia kinyaaaaaaa hata kuwasikiliza hasa wa upande ule waliolewa na wingi bungeni
 
Back
Top Bottom