Denti wa kijaluo na insha..mpe marks.

fundiaminy

JF-Expert Member
Jun 4, 2009
355
51
Mwanafunzi wa kijaluo alipatiwa mtihani wa insha ilionza hivi

nilipofika nyumbani nilimpata mama amepigwa na butwaa na bumbuwazi.....

Mwanafunzi akaendeleza....kitu ya kwanza naenda kwa kina butwaa..namtwanga butwaa natwanga yeye tena lakini siuwi yeye sababu yeye ndio tapeleka mimi kwa bumbuwazi niulize yeye kwanini walipiga mama yangu.
 
uchekeshaji wako huna tofauti na shangaz wa chanel 10.ni wa kulazimisha mno,post zako zote mbil hazina kitu
 
sio kweli hata kidogo. Ina maana yeye alienda kupiga bumbuwasi akaacha butwaa narandaranda?
 
uchekeshaji wako huna tofauti na shangaz wa chanel 10.ni wa kulazimisha mno,post zako zote mbil hazina kitu
mmh! Na post zako alfu zenye ki2 ziwapi? Huyo shangazi unaemponda ulimtongoza akakukataa ama? Najua tatizo lako wewe kibogoyo.usione soo kuonyesha fizi zako.hapa 2po online.not unless umesoma hii jok ukiwa kati ya kadamnasi.
 
mmh! Na post zako alfu zenye ki2 ziwapi? Huyo shangazi unaemponda ulimtongoza akakukataa ama?
Najua tatizo lako wewe kibogoyo.usione soo kuonyesha fizi zako.hapa 2po online.not unless umesoma hii jok ukiwa kati ya kadamnasi.

Acha matusi mkuu, kama watu wanakuambia hawacheki usikasirike na kutoa matusi...
Huyo shangazi anayemsema ni mwanaume comedian anayetumia jina la shangazi,
sasa kama unamaanisha yeye ni shoga sawa! Kwa matusi haya watu watashindwa
kuchangia posti zako, sijui utakuwa umefaidika nini?
 
Acha matusi mkuu, kama watu wanakuambia hawacheki usikasirike na kutoa matusi...Huyo shangazi anayemsema ni mwanaume comedian anayetumia jina la shangazi,sasa kama unamaanisha yeye ni shoga sawa! Kwa matusi haya watu watashindwa kuchangia posti zako, sijui utakuwa umefaidika nini?
mbona unatokwa na povu mkuu? Hivi na wewe pia unafagalia dume zima kujiita shangazi? Kama ni ma2ci yameanza na huyo alienifananisha na shangazi..kama jok haiwagusi potezeeni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom