Hata wale waliotafuna £ mil 2 za msaada kwenye chama chetu
Komu(Mkurugenzi wa Fedha na Utawala Chadema),Philimon Ndesamburo na Freeman Mbowe! Wamekula £ 2m ni bomu ambalo litalipuka soon!Hela za chama ! ni vizuri wakatajwa kama alivyo tajwa chenge hapo
Nilikuuliza makusudi mimi, sina uhakika, ila hoja hapo ya msingi ni kwamba Chenge ile ni hela ya wavuja jasho watanzania, sasa wewe unaleta longolongo la bomu litalipukaKomu(Mkurugenzi wa Fedha na Utawala Chadema),Philimon Ndesamburo na Freeman Mbowe! Wamekula £ 2m ni bomu ambalo litalipuka soon!
Mi naona Mbowe inabidi atupwe lupango fasta. Anaharibu sana vijana wetu na kumbi yake ya starehe-Billz
Wote wezi tu, hamna cha Magamba wala Magwanda.
sasa hii chuki binafsi na wivu wa kitanzaniaMi naona Mbowe inabidi atupwe lupango fasta. Anaharibu sana vijana wetu na kumbi yake ya starehe-Billz
Kumbuka kiongozi ni kioo cha jamii! Kiongozi gani anayepromot uovu? Namuheshimu sana Mbowe, lakini anchonikera nacho ni lile Jengo lake pale kati kati ya mji!sasa hii chuki binafsi na wivu wa kitanzania