Asante Mungu kwa kumchukua FATAKI aliye kuwa anatuharibia wanafunzi wetu, ndio maana hata matangazo ya kuwatahadharisha watoto wajikinge na Fataki siku hizi hayapigwi kwa kuwa kisha fariki.
James and Jerome were on a camping and hiking trip.They had gone to bed and were lying there looking up at the sky. (JAMES ASKED):Jerome,look up,what do you see? (JEROME):Well,I see thousands of...
Waswahili 2 wavivu sana baada ya kucheza bao wakataka kuita taxi iwapleke msibani, kila mmoja anajisikia uvivu kuita taxi, baada ya mabishano marefu mmoja akaita taxi iliyokuja na kusimama mbele...
Nimekuwa natafakari kwa muda mrefu ni vigezo gani anatumia kikwete kuteuwa VIGOGO wa serilika yake ni vipi
kwa mfano pamoja na mrindoko kupata kashifa nyingi hasa ya richmond alimkumbatia na...
Wana-CCM wawili a.k.a. wavua magamba walikuwa wakizungumza, mmoja akamwambia mwenzake kuwa mkewe amejifungua pacha 3 kutokana na kusoma sana mambo ya RACHEL, mwenzake akataharuki sana na kutaka...
Mwanafunzi alamuuliza mwl wake hivi honey ina miguu? mwl akamjibu haina nani kakwambia? mwanafunzi akamjibu kila mara namsikia baba usiku mwingi akisema honey nyanyua miguu. Mwl akashikwa na butwaa.
Kama mbunge analala hotelini kwa 50,000 kwa siku,je,inagharimu kiasi gani kwa wabunge wetu 350*50,000kwa siku*siku za vikao vya bunge*miaka5??
Hivi ni kwa nini serikali isiingie mkataba na NSSF...
Mnamo tarehe 22-12-2010 waziri wa elimu alikuja Udom kutatua tatizo la wanafunzi kutokwenda field ila alitoa tamko kwamba TCU ipo chini yake atakwenda kuiagiza ipitishe degree zote zile ambazo...
Habari wana jf mimi naishi manzese nataka sana kufatilia vikao vya vijana bavicha na zaidi kujitolea kwa cdm lakin sijui kuna taratibu gani plz nisaidieni nifanyaje kwan hapa mtaani kwetu kipo...
Jamani tunaomba msaada wa video ya mheshimiwa zitto akitoa speech ya budget au kama mtu
anajua inapatikana wapi (source)tufahamishane please wengine sisi ni wapenzi wa kusikiliza kuliko kusoma.
Nafahamu huyu jamaa alikuwa anafanya kazi PSI-TANZANIA kama buyer, ila sikumbuki kama alikumbuki kama jina la obama alikua nalo, wadau mnaomjua huyu jamaa naombeni data.
Jamaa mmoja alikua ameulamba viwalo vyake fresh kabsa,akawa anapta vchochoron,mara akakutana na kundi kubwa la vibaka wakamteka,wakamwambia atoe alicho nacho kabla hawajamjeruhi,jamaa akawa...
Siku moja bwana Mungo park alifika kando ya mto niger akiwa na farasi wake.Alimfunga yule farasi kwenye mti wa karibu kisha akaenda kuoga mtoni.Alipokuwa akirudi,alielekea kule alikomwacha farasi...
House girl alipokuwa akifagia chumba akaona condom uvunguni akauliza hii ni nini? Mama akamjibu kwenu hamt... Housegirl akajibu...tuna t...lakini sio mpaka ngozi itoke...
G9t my pipo, naona huu...
Jamaa wawili walikaa meza moja bila kujuana kama wote ni MASHOGA,
Pombe ilipokolea mmoja akapendekeza waulizane methali..atakayepata anamfira mwenzie. Shoga wa kwanza akatoa methali rahisi ili...
Kijiji kimoja Pemba ilikuwa kuna shimo km 1 kabla ya kukifika, wenyeji huwa wakipita hapo huanguka na kuumia, wakashauriana nini la kufanya. Majibu kwa asilimia yalikuwa kama ifuatavyo:-
1. Iletwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.