Vituko tulivyo fanya tukiwa Primary School | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vituko tulivyo fanya tukiwa Primary School

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bujibuji, Jul 7, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,051
  Trophy Points: 280
  Kuna vituko vingi sana tulifanya tukiwa wadogo rika lile la shule ya msingi.
  Visa tulifanya kanisani, shuleni, nyumbani na mitaani kwa ujumla.
  Je wewe unakumbuka kituko gani?
   
 2. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Mambo ya primary bwana? Nakumbuka nilikuwa napiga matofali ya kuchoma kwa kicha yanapasuka. Basi kuna siku demu mzuri akaniletea jiwe badala ya tofali. Kwa kuwa nilikuwa nampenda nikakubali. Ile nimepiga tu kichwa mzee niliibuka na bonge la nundu.
   
 3. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Wewe ulifanya nini?
   
 4. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nilikuwa kiranja, ebwanaee nilikuwa napiga mamisosi ya waalimu kwa kwenda mbele!
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,051
  Trophy Points: 280
  Lazima ulimkosa huyo kimwana
   
 6. j

  jambia Member

  #6
  Jul 7, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 72
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ebwana kutongoza ilikuwa ilikuwa issue,hadi kabarua kenye maua kibao na I love u za kufa mtu. Wakati mwingine ukimpenda demu unamfanyia vituko ili akimbie ili ukamweleze shida zako huko au ufanye mambo ya 'shaghulaga'
   
Loading...