Wazo la Punguani:- Dawa imepatikana kuwanusuru wabunge wa CCM na TLP | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazo la Punguani:- Dawa imepatikana kuwanusuru wabunge wa CCM na TLP

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bujibuji, Jul 8, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jul 8, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,427
  Likes Received: 22,349
  Trophy Points: 280
  CCM ndio chama kinacho ongoza nchi. Chama hiki kinaongoza nchi masikini na watu wake wengi ni masikini wa kutupwa, wa kipato na hata fikra.
  Wabunge wake ndio wanao ongoza kwa kulala bungeni.
  Tyson, Komba a.k.a Mpoki na mbunge wa TLP a.k.a CCM B Mh. Mrema a.k.a Vengu wameugeuza ukumbi wa bunge mahala pa kulala.
  Wabunge wa namna hii ni noma, kama ulivyo ulevi kwa dereva au ngono kwa mtoto wa shule tena yule wa praimari.
  Dawa yao ni moja, ni kuwaingiza askari wa zimamoto kwenye ukumbi wa bunge, wakikuspot unasinzia, wanakumiminia maji mpaka ukome.
  Hapo kutakuwa hamna kulala kama alivyo sema Juma Nature na kutakuwa hakuna Majotro kama Fiesta 2011
   
 2. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Mapunguani bwanaa ahh ngoja nikuletee :bange:
   
Loading...