Sharo hiphop
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 660
- 100
Tukifananisha makampuni ya simu na mademu tunaweza kupata majibu yafuatayo kitaaa!
ni udaku tu usichukie
Airtel ni sister du anaependa starehe na kubadili majina na kupenda wenye nazo;
Zantel ni jimama la kulea vitoto;
ttcl ni kibibi kinachojilazimishia ujana;
tiGO changudoa asiejali maslahi na asie na bei;
vodacom ni demu mwenye msimamo anaefaa kuwa mke , haya sasa, jichagulie.