Mvuvi mvivu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mvuvi mvivu.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Jaguar, Jul 2, 2011.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mpitanjia mmoja alimkuta mvuvi kakaa chini ya mti akipumzika huku akiwatazama wavuvi wengine wakiendelea na kazi,mazungumzo yakawa kama ifuatavyo; (MPITANJIA):We mvuvi acha uvivu,nenda kafanye kazi! (MVUVI):Nifanye kazi ili iweje? (MPITANJIA):Upate pesa nyingi! (MVUVI):Na hizo pesa zitanisaidia nini? (MPITANJIA):Utanunua boti yenye injini,utapata samaki wengi zaidi,utapata pesa nyingi zaidi na utanunua boti nyingi zaidi. (MVUVI):Na hizo boti zitanifaa nini? (MPITANJIA):Utaajili wafanyakazi wengi halafu wewe utakaa chini ya mti ukipumzika na kuwatazama wakikufanyia kazi yako! (MVUVI):Kumbe mwisho wa yote ni kukaa chini ya mti na kupumzika,kwani hapa umenikuta nafanya nini?
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Jul 2, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ahahahaaah!! Mwenyewe karidhika..
   
 3. serio

  serio JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,925
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  judging the book by its cover.,!!
   
 4. s

  samliz Member

  #4
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimeipenda sana hiyo ime2lia
   
 5. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ahahaha! Imetulia
   
 6. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Huyo mvuvi namtengenezea picha kama nvile "Muhogo mchungu" na majibu ya nyodo.
   
 7. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hawa ndo watu wa pwani bwana,anakwenda baharini anavua samaki kapu moja,anauza wale samaki,akipata visenti haendi baharini tena mpaka viishe!
   
 8. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #8
  Jul 3, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,998
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  halafu tukakubali tuongozwe na mtu wa pwani, ukimuuliza kwanini hatulii ikulu atakwambia ikulu ni mahali patakatifu
   
 9. S

  Shery Member

  #9
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Gud answer!
   
 10. ngulinho

  ngulinho JF-Expert Member

  #10
  Jul 5, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  doh!!!! jibu sahihi kabisa.!!!
   
 11. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #11
  Jul 5, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Duh, hii kali! Mnasema huyo ni mtu wa Pwani? Nani, Prezidaa?
  Ha ha ha haaaa!!!
   
 12. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #12
  Jul 5, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kuzunguka mbuyu sio kazi, kazi kuukumbatia
   
 13. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #13
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,718
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  vema sana.
   
 14. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #14
  Jul 8, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kaka hii avatar yako sijaipenda!
  hivi we ni mwafrika kweli!?
   
Loading...