Professor na fan

nyambari

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
355
171
Siku moja jamaa fulani akawa hajasoma na bado course work ikawa sio nzuri sasa katika test ya mwisho akaona bora ajihami mapema, siku moja kabla ya paper jamaa akaenda kwenye venu ya test akaandika nondo zake kwenye fani ili kesho yake iwe rahisi kwake kupata 100 siku ya paper jamaa akakaa karibu na ile fan ili paper likiianza akamue kwelikweli , akaanza test akawa anaandika anaangalia juu kwenye fan anapata vitu live kumbe katika harakati zile prof si akamwona. Unaju prof alifanyaje akaenda kwenye ile switch ya fan akaiturn on ikaanza kuzunguka. Jamaa ikabidi akakusanye paper lake akaondoka.
 
Kwan ilitakiwa tucheke!?..
avatar yako imenimix sana, nimeharibu screen yangu kwa
kuisugua khaa...
avatar36148_2.gif
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom