figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,486
- 61,860
Jamaa alikwenda kununua sigara,alipopewa akataka na kibiriti ili awashie palepale.
Muuzaji akamjibu;haturuhusu kuvuta sigara hapa.
mteja kamuuliza;sasa mbona mnauza?
Muuzaji akamjibu;eboh!! ina maana nikikuuzia condom utataka ut***ee hapa hapa au?.
mia.
Muuzaji akamjibu;haturuhusu kuvuta sigara hapa.
mteja kamuuliza;sasa mbona mnauza?
Muuzaji akamjibu;eboh!! ina maana nikikuuzia condom utataka ut***ee hapa hapa au?.
mia.